St. Anne Pre & Primary School Striving for Excellence
  • Tupigie simu
    +255 754 565870
  • Muda wa Masomo
    J3 - Iju Saa 2 - 11 jioni
  • Shule ipo wapi (location)
    Msaranga, Moshi Kilimanjaro

Elimu bora kwa Mwanao

Karibu, shule yetu ni ya bweni/siku iliyopo kijiji cha Rauya, kata ya Msaranga katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro umbali wa Mita 600 (barabara ya lami) kutoka barabara kuu.

 

Ni shule mchanganyiko (Boys & Girls) inayotumia mtaala wa Kiingereza (English Medium) ikitoa huduma ya usafiri kwa wasiolala shuleni

Kwanini St. Anne Pre & Pimary School?

Ni Shule bora kwa elimu bora ya mwanao, kwa Taifa bora la kesho.!

Waalimu wenye uzoefu

Shule yetu ina waalimu wenye uzoefu mkubwa kufundisha

Mitaala ya Kingereza

Mitaala yetu ni ya kitanzania lakini kwa mfumo wa Kiingereza

Zaidi kuhusu sisi
Maadili Mema

Maadili mema ni muhimu kwa mafanikio ya mwanao kielimu

Ijue Shule yetu kwa picha

Maeneo mbalimbali ya shule yetu kwa picha ikiwemo viwanja, bustani, magari ya usafiri wa wanafunzi, waalimu wetu, madarasa yakiwemo ya kompyuta n.k